Dawa ya maumivu ya koo

Post a Comment. Pages Home. Tuesday, February 13, Muwasho ndani ya koo unatokana na sababu mbalimbali japo kwa kiasi kikubwa unachangiwa na mzio aleji wa vitu ikiwamo ile itokanayo na baadhi ya vyakula.

Kupitia mzio unaotokana na vyakula, hutokea pia wakati kinga ya mwili inapambana na vimelea vilivyopo kwenye vyakula tunavyokula vyenye kuhatarisha afya zetu.

Kwa kawaida, kinga ya mwili hupambana na vimelea hivi vya maradhi muda mfupi baada ya kula vyakula vyenye vimelea vya maradhi. Lakini kwa watu wengine, mzio unaweza kutokea hata siku kadhaa baada ya kula vyakula hivyo. Mzio unaweza kuwa wa kawaida ukiambatana na dalili chache zikiwamo za muwasho ndani ya koo au mdomoni. Hata hivyo, mara chache inaweza kutokea kuleta madhara makubwa zaidi kiafya. Hivyo ni vyema kuwa makini katika ulaji wa baadhi ya vyakula kama ngano, baadhi ya aina za kunde, baadhi ya nyama mbichi, mayai na hata maziwa.

Vyote hivyo mara nyingi husababisha mzio kwa walio wengi. Mzio hutokea pia kutokana na matumizi ya aina mbalimbali za dawa ambazo husababisha muwasho ndani ya koo. Wengi wanaoshambuliwa na mzio unaotokana na matumizi ya dawa hasa kiantibayotiki kama vile penicillin zinazotumika kuzuia maambukizi ya vimelea mbalimbali.

Mzio huu unapotokea huleta ishara mbalimbali mwilini ikiwamo muwasho ndani ya koo. Mtu anapokuwa na mafua makali hasa wakati wa baridi, maumivu na muwasho ndani ya koo yanaweza kuongezeka mara dufu vikiambatana na hali ya homa na maumivu ya kifua. Muwasho huu unaweza kudumu kwa muda usipopatiwa tiba na unaweza kuwa hatari kwa afya. Muwasho ndani ya koo pia unasababishwa sana na maambukizi ya kibakteria na yale yatokanayo na baadhi ya virusi vya maradhi mbalimbali.

Maambukizi haya yanapotokea yanaweza yakaambatana na vidonda kwenye koo ambavyo wengi pia huwa wanavipata tonsillitis yakiambatana na muwasho ndani ya koo hatimaye kuongezeka na kuleta maumivu makali kwenye koo. Baadhi ya virusi vinavyosababisha mafua pia vinaweza kuleta muwasho ndani ya koo. Ni Dhahiri kuwa, kila mmoja anafahamu umuhimu wa maji kwenye maisha yetu ya kila siku na hasa kwa afya.

Ukosefu wa kiwango cha kutosha cha maji unasababisha kwa kiasi kikubwa sana tatizo la muwasho ndani ya koo. Upungufu wa maji mwilini unatokea pale ambapo mwili unapoteza kiasi kikubwa cha maji kuliko kile kinachoingia na mara nyingi hali hii hutokea wakati wa joto sana, baada ya kufanya mazoezi ya mwili au hata wakati wa homa. Upungufu wa maji mwilini unaweza kusababisha kukauka kwa mdomo, japo hali hii huwa ni ya muda kwa sababu mdomo na koo havipati mate ya kutosha kutokana na upungufu wa maji mwilini na hivyo kupelekea kupata muwasho ndani ya koo.

Utendajikazi wa madawa mwilini pia unasababisha muwasho ndani ya koo. Baadhi ya madawa yanaweza kusababisha kikohozi kikavu na muwasho ndani ya koo ambayo hayatokani na aleji zinazotokana na dawa.

Watu wanaotumia baadhi ya dawa za shinikizo la damu wanapaswa kutambua kuwa dawa hizo zinaweza kusababisha kikohozi kikavu na muwasho ndani ya koo wakati wa utendaji kazi wake mwilini. Kwa kawaida dalili hutokea mara tu baada ya kutumia dawa hizi na mara zote haziambatani na dalili zingine tofauti na muwasho ndani ya koo na kikohozi kikavu.

Kwa kawaida huwa si rahisi kugundua kama muwasho ndani ya koo umetokana na baadhi ya magonjwa au ile inayotokana na baadhi ya vyakula, hivyo ni vyema kuzitambua dalili zake ndipo utagundua kama muwasho huo umetokana na vyakula au maradhi mengine.

Email This BlogThis! Newer Post Older Post Home. No comments:. Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Posts.

dawa ya maumivu ya koo

W atu wengi wanaugua magonjwa ya tumbo lakini ni wachache wanaofahamu kuhusu ugonjwa wa amoeba unaosababishwa na uchafu wa mazingir Wengine hubadili meno yaliyotoboka na kununua bandia il Mara nyingi ujauzito huambatana na changamoto mbalimbali, ikiwamo kuumwa mara kwa mara hasa kwa kina mama ambao wanaishi katika mazing Bamia ni miongoni mwa mboga ambazo baadhi huziona ni za kawaida wanapozitumia kwenye milo yao.

Licha ya kuwa mboga, bamia ina faida Kuusafisha mfumo wa damu Matibabu ya uvimbe wa tezi ya shingo yanapaswa kuanza kwa kuusafisha mfumo wote wa damu na kuanzisha mat Kuzaliwa kwa mtoto ni moja ya miujiza mikuu ya Mungu ya uumbaji.Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono.

Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy. Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo:. Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, Vitamin B Complex. Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.

Ugonjwa wa kisukari, mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, diabetic polyneuropathy. Shinikizo la damu, mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu High blood pressure pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.

Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, kama ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha na fuata maelekezo ya wataalamu wa afya kuhusu matumizi sahihi ya dawa na kanuni za kukufanya uishi huku ukiwa na afya bora. Chanzo: Tanzlife Company Limited.

Naitwa maximillian, mwanangu mkono mmoja hauna nguvu yaani kama vile ana polio, na madaktari wanasema hauna shida ni mazoezi tu yanahitajika, ninajitahidi kumfanyia mazoezi lakini badiliko sioni, nifanyeje tafadhali.!!!

Asante sana umenisaidia sana. Tatizo la kuhisi miguu inawaka moto ninalo na nina uzito zaidi ya kg hivyo kwa maelezo haya machache umenisaidia sana. Nasi tunashukuru na tunaamini kuwa japo kwa uchache umeweza kufahamu ni wapi au ni kitu gani cha kuanza nacho katika kutatua tatizo hilo, pole sana. Mimi pia nasumbuliwa na tatizo la kuhisi kama miguu na mikono kama inawaka moto na nimejaribu kutumia dawa nilizo elekezwa na wataalamu ila bado tatizo linaendelea, nifanyeje?

Kwanza pole sana kwa usumbufu na maumivu unayoyapata kutokana na tatizo hilo, katika kutatua au kutibu tatizo lolote lile jambo la msingi kujua kwanza ni chanzo cha tatizo husika, baada ya hapo ndipo matibabu huchukua nafasi yake, labda pamoja na kupewa dawa za kutumia, je ulifahamishwa chanzo cha wewe kupata hayo maumivu au kuhisi viungo kufa ganzi.

Litakuwa ni jambo la kubahatisha endapo tutakwambia fanya kitu fulani au tumia dawa fulani wakati hatujajua chanzo cha tatizo lako ni nini, tukishajua chanzo ni nini tutaweza kukwambia kitu cha kufanya.

dawa ya maumivu ya koo

Ila pole sana ndugu. Jackson Nyabusani. Asante sana…jaman naombeni msaada mie nina matatizo Miguu imekufa ngazi na vidole kuuma sana na sasa ni miaka 3. Nimelipata tatizo hili baada ya kujifungua motto. Hospital nimeenda nikapewa Dawa za vitamin ambazo unakunywa mwezi mzima pia nimechoma name sindano.

Vilevile nimepima sukari poa! Jarman naomben ushauri name msaada kama kuna mtu anafahamu ni wapi tiba hii naweza pata. Pole sana kwa tatizo hilo, unaweza kuwasiliana nasi kupitia number hii tukaona namna sahihi ya kuweza kukusaidia au kukushauri, pole sana.

Nashukuru kwa hayo,tatizo langu kubwa ni mikono kuwa ya baridi sana wakati wote,lakini haifi ganzi. Naomba ushauri ama tiba,asante.

Nasumbuliwa miguu na mikono kwenye joint za miguu na mikono pia, nyama za kwenye misuli zimelainika sana na napata maumivu makali je hili ni tatizo gani? Kwanza pole sana kwa maumivu na usumbufu unaoupata. Matatizo ya joints huweza kusababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo kushambuliwa na vijidudu au bakteria ambao huaribu na kudhoofisha utendaji kazi na hata muonekano wa joints za miguu na mikono, pia matatizo haya inawezekana yakasababishwa na kuzidi kwa kemikali katika damu ambazo kwa kitaalamu huitwa Uric Acid, hivyo napenda kukushauri kuwa, fika katika hospitali yoyote iliyo karibu nawe ili uweze kufanyiwa uchunguzi zaidi na kujua chanzo cha tatizo ni nini, ila miongoni mwa magonjwa yanayopelekea mtu apate maumivu ya joints kitaalamu ni Gout kuzidi kwa uric acid katika damu pamoja na Rheumatoid Arthritis kushambuliwa kwa joints ambapo moja ya kisababishi inaweza kuwa ni bakteria.

Hi admin me nasumbuliwa na tatizo la miguu kuuma kuwhumanashwa na kuishiwa nguvu kabisa mpaka kuna mdaa nasimama nahisi kuanguka naomba ushauri wako nifanyeje.

Magonjwa na tiba zake za asili

Pole kwa usumbufu uupatao kutokana na hali hiyo, nakushauri kwa kuanzia kama huduma ya kwanza ni kutumia dawa za maumivu, baada ya hapo ni ufanyike uchunguzi kujua vitu vya msingi katika mwili wako ikiwemo wingi wa damu na presha, hii itatoa mwanga kujua tiba ianze na kitu gani, pole sana ndugu…. Mimi nina tatizo la mgongo kuwaka moto……na miguu kufa ganzi sijawahi tumia dawa….W ATU wa rika zote, wanaume na wanawake husumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno na magoti huku wazee ndiyo huteseka zaidi.

Tatizo huanza taratibu na wakati mwingine maumivu ya kiuno husambaa hadi magotini, lakini kwa kiasi kikubwa maumivu haya hujitegemea, yaani magoti huuma kama magoti bila ya kuhusiana na kiuno na kiuno pia huuma chenyewe. Watu wanaosumbuliwa sana na tatizo hili mara nyingi ni wale wenye umri mkubwa hasa kina mama ambao aidha tayari wameshafikia ukomo wa hedhi au wapo katika ukomo wa hedhi kwa kuwa kiwango cha homoni ya estrojeni mwilini kinapungua na kazi ya homoni hii mojawapo ni kufanya kazi sambamba na madini ya chokaa yenye kazi ya kujenga na kuimarisha mifupa.

Vipo vyanzo vingi vya maumivu iwe magoti au kiuno, inaweza kuwa kuumia, mfano unapoinama kunyanyua mzigo mzito au kuanguka, kufanya kazi nzito, maambukizi ya mifupa, uzito mkubwa na hata kuwa na ugonjwa wa kisukari kwa muda mrefu na kansa.

Kwa wanaume saratani ya tezi dume huathiri zaidi sehemu za kiuno na kuhisi maumivu ya mara kwa mara. Wanawake saratani ya shingo ya kizazi pia huchangia hali hii ya maumivu. Maambukizi sugu au ya muda mrefu katika uzazi wa mwanamke humsababishia ahisi maumivu ya kiuno. Watu wazima au wazee ambao hapo awali walikuwa wanajishughulisha sana na baadaye wakaacha kijishughulisha hata kufanya mazoezi wapo katika hatari ya kupata tatizo hili.

Kazi za kusimama muda mrefu au kutembea mwendo mrefu kama hujazoea itakupa shida. Upungufu wa ute ute wa magoti hasa kwa wazee nao husababisha maumivu na kushindwa kutembea.

Magonjwa ya mifupa, mfano baridi yabisi au gauti huchangia tatizo.

Hesperian Health Guides

Kukaa kitako muda mrefu na kutokuwa na tabia ya kufanya mazoezi unaweza kupata maumivu ya kiuno. Maumivu yatokanayo na maambukizi ni kama vile kifua kikuu au TB, Kaswende na endapo ulipata mivunjiko ambayo mifupa ilichomoza nje ya nyama na ukachelewa kupata tiba.

Maumivu ya kiuno husambaa hadi magotini na unajikuta unashindwa kutembea au unatembea kwa shida. Wakati mwingine unashindwa kunyanyuka na hata kukaa kitako kiuno kinauma. Maumivu husambaa hadi juu ya mgongo na mapajani hadi katika makalio na nyuma ya mapaja. Haja kubwa unapata kwa shida na hata haja ndogo. Magoti utashindwa kusimama vizuri, kuchuchumaa kwa taabu hata kupiga magoti huwezi. Magoti yanaweza kuvimba na wakati mwingine hujaa maji, goti linaweza kulegea na kuhama sehemu yake likiambatana na maumivu.

Magoti yanaweza kuuma yote au moja. Maumivu yanaweza kuwa katika goti lote au upande. Vipimo mbalimbali hufanyika kadiri daktari atakavyoona inafaa. Vipimo vya damu, X-Ray na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa. Uchunguzi hufanyika katika hospitali kubwa za mikoa.

Maumivu ya kiuno na magoti huweza kukunyima raha muda wote, unashindwa kutembea na kushiriki shughuli mbalimbali za uzalishaji mali hata ibada, matatizo haya yanaweza kuwa ulemavu ambapo hapo awali ulikuwa mzima tu, lakini sasa ni mtu wa kutembelea kiti au kubebwa.

Matatizo haya huwathiri mifumo mbalimbali ya mwili na unaweza ukajikuta unapata haja bila kujitambua au unashindwa kujizuia iwe ndogo au kubwa, unakuwa ni mtu wa kuhudumiwa, unashindwa hata kushiriki tendo la ndoa. Hufanyika baada ya uchunguzi wa kina kubaini tatizo halisi kama vifupa vya kiuno vimepishana, maambukizi au kama goti limehama na mengineyo yatakayojulikana. Kwa hiyo ni vema kuwahi hospitalini kwa uchunguzi wa kina na tiba.

Mgonjwa anashauriwa kuzingatia vipimo na tiba kama atakavyoshauriwa na daktari wake, zingatia mlo bora wenye virutubisho vyote. Ukizingatia tiba tatizo hili linapona vizuri. Install Globalpublishers Application.Nimekuwa nikikumbwa na maumivu ya koo kwa miezi miwili sasa. Licha ya kwamba nimekuwa nikipokea matibabu, sijashuhudia mabadiliko. Je, hii yaweza kuwa dalili ya kansa ya koo?

TIBA YA MATONSEZI (MADONDA YA KOO)

Kukumbwa na maumivu ya koo kwa mwezi mmoja yaweza kutokana na maambukizi ambayo hayajatibiwa. Maumivu ya koo pia yaweza kuwa kutokana na chakula tumboni kupanda juu hadi kwenye umio oesophagusna hivyo kusababisha mwasho katika sehemu hii, na wakati mwingine kuenda hadi kwenye njia ya kupitisha hewa. Kukaukiwa, kutaabika kutoa sauti, kukohoa kwa muda mrefu na kusafisha koo, aidha ni baadhi ya mambo ambayo yaweza kusababisha maumivu ya koo.

Unashauriwa kutafuta ushauri wa mtaalamu wa ENT ili ufanyiwe uchunguzi wa koo. Matibabu yatategemea na kinachosababisha tatizo lako, kwa mfano, mzio unatibiwa kwa kutumia anti-histamines, viua vijasumu hupendekezwa kutibu maambukizi yoyote, dawa maalum ya kunyunyiza puani nasal spray yaweza kutumika kuzibua uwazi katika mfupa unaowasiliana na mianzi ya pua na vilevile dawa za kupunguza viwango vya asidi tumboni.

Aidha, kunywa kati ya glasi 6 na 8 za maji ili kuepuka tatizo la kutaabika kutoa sauti, vile vile kusafisha koo lako kila mara. Ni mara ngapi mtu anapaswa kutumia tembe za dharura za kupanga uzazi E-Pill? Tembe za dharura za kupanga uzazi zinapaswa kumezwa katika kipindi cha muda wa saa baada ya kushiriki tendo la mahaba bila kinga, iwapo una wasiwasi kwamba mbinu ya uzazi unayotumia imefeli kufanya kazi, au baada ya kudhulumiwa kimapenzi.

dawa ya maumivu ya koo

Kuna tembe zinazomezwa mara moja na zingine humezwa mara mbili, au unaweza kuwekewa kitanzi cha kuzuia mimba intra-uterine devicekifaa ambacho husalia kwa miaka kadha. Ikiwa unalazimika kutumia tembe za dharura kila siku, basi unashauriwa kutumia mbinu ya kupanga uzazi ya kudumu ili kuepuka tatizo la mbinu hii kufeli kufanya kazi, au kuzuia kukumbwa na athari zinazotokana na matumizi ya kila wakati ya tembe hizi za dharura.

Rafiki yangu amekuwa akikohoa kwa miezi sasa. Nashuku kwamba ni kifua kikuu TB. Kama marafiki, vile vile familia yake tutajiepushaje na maradhi haya pasipo kumfanya ahisi kwamba tunamtenga? Ishara kamili ya kifua kikuu TB ni kikohozi kinachoendelea kwa zaidi ya wiki mbili, homa kali, kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku na kupunguza uzani.

Mgonjwa atahisi mdhaifu na mchovu na huenda kikohozi kikatoka kikiwa kimechanganyika na chembechembe za damu au kuvimba kwa tezi za limfu lymph nodes. Yeyote anayezidi kukohoa kwa zaidi ya majuma mawili hasa baada ya kupokea matibabu, anapaswa kupimwa kubaini iwapo anaugua TB ambapo uchunguzi hufanyiwa kikohozi chake na hata mhusika kupigwa picha za X-ray kifuani. Pindi baada ya matokeo kujulikana, kuna dawa thabiti za kutibu TB, pasipo kuzingatia sehemu iliyoathirika. Bila matibabu, mgonjwa anaweza kupata matatizo mengine ya kiafya au hata kufa.

Watu wengi hawawezi kusambaza maambukizi haya baada ya majuma mawili ya matibabu. Kwa hivyo, njia thabiti ya kumlinda mwenzio na hata nyinyi wenyewe ni kuhakikisha kwamba mhusika anafanyiwa uchunguzi unaofaa kubaini maradhi anayougua na kupata matibabu. Kumbuka kwamba kikohozi hiki chaweza kuwa ni kutokana na matatizo mengine kama vile maradhi ya pumu, mkamba chronic bronchitisugonjwa wa kuvimba mapafu na kupumua kwa shida emphysemamaradhi ya moyo au hata kansa.

Dr habar mm tatizo langu makohoz yanakwama kwenye Koo kila nikitoa yanarud Tena naomba ushaur plz. Toggle navigation. Sep 17, 3. Mkazi wa Nairobi Mpendwa, Kukumbwa na maumivu ya koo kwa mwezi mmoja yaweza kutokana na maambukizi ambayo hayajatibiwa. Mpendwa Daktari, Ni mara ngapi mtu anapaswa kutumia tembe za dharura za kupanga uzazi E-Pill? Mwanaisha, Mombasa Mpendwa Mwanaisha, Tembe za dharura za kupanga uzazi zinapaswa kumezwa katika kipindi cha muda wa saa baada ya kushiriki tendo la mahaba bila kinga, iwapo una wasiwasi kwamba mbinu ya uzazi unayotumia imefeli kufanya kazi, au baada ya kudhulumiwa kimapenzi.

Mpendwa Daktari, Rafiki yangu amekuwa akikohoa kwa miezi sasa. Gracy Mpendwa Gracy, Ishara kamili ya kifua kikuu TB ni kikohozi kinachoendelea kwa zaidi ya wiki mbili, homa kali, kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku na kupunguza uzani. Habari zinazohusiana na hii. Mar 24, Mar 10, Post a Comment. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Chemsha mpaka mchanganyiko huo uwe mzito. Ongeza Zafarani iliyosagwa,Iliki iliyosagwa, Kungumanga zilizosagwa na karafuu iliosagwa.

Iweke dawa hii vizuri na tumia inapo hitajika. Hakikisha umechanganya vizuri.

Maumivu makali katika koo

Kunywa dawa hii kabla ya Chakula. Koroga vizuri, kunywa kabla ya kula chakula. Dawa hii husafisha Ulimi na Koo na hukuongeza hamu ya kula na kukufanya mchangamfu. Tafuna vipande vidogo vya Tangawizi. Chua sehemu zinazozunguka kitovu kwa Juice ya Tangawizi. Kunywa Juice ya Tangawizi iliyochanganywa na Sukari mawe. Kunywa mchanganyiko wa Juice ya Tangawizi na Juice ya Kitunguu. Changanya Juice ya Tangawizi na Maziwa, kisha kausha.

Nusa unga huo kama Tumbaku. Changanya kijiko kimoja cha au viwili vya Tangawizi iliyosagwa na kijiko kimoja au viwili vya mafuta ya Kastoroli. Kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku. Changanya kijiko kimoja cha Tangawizi ya unga na vijiko 24 vya maji kunywa mchanganyiko huu ukiwa vuguvugu. Ulale na ujifunike mpaka utoe jasho. Chukua Tangawizi ya Unga koroga na maji kidogo iwe nzito kama tope. Jipake na uchue kwenye paji lako la uso kabla ya kulala. Kwa Jino jipake na uchuwe kwenye Shavu.

Ni kiungo ambacho kinatokana na mizizi ya mmea wa Tangawizi. Mmea huu unafanana sana na Binzari ikiwa bado haijamenywa maganda yake. Na kwa hapa Tanzania.Wakati mwingine, pamoja na juhudi zetu nzuri za kuzuia magonjwa, watoto huugua. Ugonjwa kwa mtoto unaweza kuzidi au kuongezeka haraka. Ni muhimu kugundua dalili za ugonjwa mapema na kuushughulikia mara moja. Watoto wengi wanaokufa kutokana na kuharisha hupoteza maisha kwa sababu ya kupungukiwa na maji mwilini.

Tiba yake rahisi ni kumuongezea mtoto maji ambayo anapoteza kwa kunywa maji zaidi. Kumuongezea maji mtoto mwilini husaidia kutibu tatizo la kupungukiwa na maji kutokana na kuharisha, kutapika, au kufanya kazi muda mrefu katika hali ya hewa au jengo lenye joto. Kwa kuwa kupungukiwa na maji mwilini kutokana na kuharisha ni hatari sana kwa watoto, kila mara kuwa makini kuangalia:.

Hali ya upungufu wa maji mwilini inapokuwa mbaya kiasi hiki, mtoto anakuwa katika hatari. Tiba ya haraka inaweza kuokoa maisha yake.

Tiba ya tatizo la kupungukiwa na maji mwilini ni rahisi: mpe vinywaji. Angalia maelekezo juu ya kinywaji maalum cha kumuongezea mgonjwa maji mwilini. Iwapo mtoto hataanza kupata nafuu haraka, tafuta msaada zaidi. Maziwa ya mama Kama unanyonyesha mtoto ambaye amepungukiwa na maji mwilini,endelea kunyonyesha na pia kumpa kinywaji hicho. Mnyonyeshe mtoto mara nyingi zaidi kuliko kawaida-angalau kila baada ya saa 2.

Mruhusu mtoto anyonye kadri atakavyohitaji. Kujisaidia kinyesi laini chenye majimaji kila baada ya muda mfupi kuliko kawaida huitwa kuharisha.

Watoto huandamwa na tatizo la kuharisha kwa sababu nyingi, zaidi ni kutokana na vijidudu vinavyosambaa kupitia mazingira machafu na lishe duni. Mara nyingi, tatizo la kuharisha hupungua bila dawa.

Lakini kuna tiba moja ambayo huhitajika kwa kila mtu ambaye anaharisha, na tiba hiyo ni kutumia vinywaj ili kufidia maji ya mwilini ambayo hupotea kupitia mharo. Bila kumpatia vinywaji, mtoto ambaye anaharisha anaweza kupoteza kiasi kikubwa cha maji mwilini na kufariki. Nusuru maisha ya mtoto ambaye anaharisha kwa kumpatia vinywaji ili kufidia maji ya mwilini ambayo amepoteza. Je, unaamini kumpatia mtoto vinywaji husababisha tatizo la kuharisha kuzidi?

Ni rahisi kufikiria hivyo unapoangalia mharo ukimtoka mtoto. Lakini vinywaji havisababishi kuharisha. Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi juu ya kuharisha. Taarifa zifuatazo zinahusu hasa watoto. Watoto wenye utapiamlo hupatwa na tatizo la kuharisha mara kwa mara. Na kwao, ugonjwa huu unakuwa mgumu kupona. Hii ni kwa sababu magonjwa haya 2 hufanya kazi kwa pamoja katika mduara hatari wa kupokezana.Mazoezi ni muhimu na kupunguza kitambi. Soda na juisi za madukani epuka nazo. Kunywa maji kwa wingi siyo ya baridi.

Asante kiungulia kinatibika tufanye mazoezi na kuepka vtu vya baridi. Dr umeeleweka sana so tunashukuru kwa elimu yako ya bure na wengine wenye nondo Kama zako wajitokeze ili kuwasaidia watu matatizo Kama haya yasiotiliwa shaka kumbe yana karahisha.

dawa ya maumivu ya koo

Afya Bora. Pata kufahamu hapa. Tatizo la kiungulia husababishwa na nini? Unknown Magonjwa. Sayansi ya mfumo wa chakula. Nyongo huzalisha tindikali iitwayo Hydrogen Chloride HCltindikali hii ni kali sana na ina uwezo wa kumengenya hata chuma. Tumbo limeundwa na ukuta madhubuti ambao unaweza kuvumilia hatari ambayo huweza kusababishwa na tindikali hii katika seli za kawaida za mwili kumbuka tindikali hii ni moja kati ya sababu zinazopelekea vidonda vya tumbo endapo ukuta wa tumbo utapoteza umathubuti wake.

Tindikali hii ni salama ikiwa katika tumbo pekee kwa vile sehemu nyingine za mfumo wa mmen'enyo wa chakula hazina ukuta unaoweza stahimili tindikali hii. Moja ya sehemu ya mfumo ambao hushambuliwa zaidi na tindikali hii ni koo la chakula ambalo halijaundwa na ukuta stahimilivu dhidi ya tindikali hii hivyo basi kufika kwa tindikali hii katika koo la chakula husababisha kuunguzwa kwa eneo hili na kupelekea maumivu makali ya kufanana na moto.

Kati ya tumbo na koo la chakula kuna mlango ambao hurekebisha upitaji wa vyakula kati ya tumbo na koo la chakula, hivyo kuathiriwa kwa mlango huu ndio hasa sababu kubwa ya kiungulia, mlango huu huweza kuathiriwa kwa naman nyingi ikiwemo msukumo mkubwa chakula kutoka tumboni au kusinyaa na kutanuka kwa misuli inayorkebisha ufungukaji wa mlango huo. Kiungulia husababishwa na nini? Tatizo la kiungulia huwapata watu aina zote bila kujali jinsia, rangi au umri kwa kuwa yapo mambo mengi ambayo hupelekea mtu kupata kiungulia.

Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha kiungulia lakini kubwa ni kutumia vitu ambavyo hupelekea kutengenezwa kwa tindikali nyingi zaidi mwilini, vitu hivyo ni pamoja na; Vyakula ambavyo husababishwa kutengenezwa kwa tindikali nyigi kupita kiwango. Matumizi makubwa ya chumvi ukosefu wa vyakula vyenye ufumwele. Matumizi ya pombe na kafeini Kitambi Kutojihusisha na mazoezi.

Matumizi ya baadhi ya madawa kama vile dawa za pumu na usingizi. Nini Dalili kuu za kiungulia! Zifuatazo ni dalili za kiungulia; Maumivu wakati wa kumeza chakula. Kutapika Kichefuchefu Maumivu ya kifua na tumbo Muwasho katika koo la chakula Harufu mbaya ya kinywa. Kushikwa na nimonia.


Join the Conversation

Comments

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *